Edit Lyric - Lyricshot
Feature Note:
After successfully editing the lyric, we will review your submission. The review process may take up to one week.
Current Song
Sura Yako
Sauti Sol
Your Name
*
Lyric Content
*
[Translation] [Verse 1] Nimekuchagua wewe, nikupende Mama, sitaki mwingine Aushi usiniache, usinitende Mama, usipende mwingine [Pre-Chorus] Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi Kukupenda sitasizi Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi Kukupenda sitasizi [Chorus] Sura yako mzuri mama, aaaah Mzuri mama Na tabasamu lako maua, aaaah Mzuri mama Sura yako mzuri mama, aaaah Mzuri mama Na tabasamu lako maua, aaaah Mzuri mama [Verse 2] Itabidi nikulinde, nikutunze Mama, usikose lolote Pete nayo nikuvishe, nikuoe Mama, usiende popote [Pre-Chorus] Juu moyo wangu ushakubali Umenikalia chapati Nitakulinda kama polisi, Eh! Itabidi nikumarry Moyo wangu ushakubali Umenikalia chapati Nitakulinda kama polisi, Eh! Itabidi nikumarry [Chorus] Sura yako mzuri mama, aaaah Mzuri mama Na tabasamu lako maua, aaaah Mzuri mama Sura yako mzuri mama, aaaah Mzuri mama Na tabasamu lako maua, aaaah Mzuri mama Na figure yako kama ya chupa, aaaah Mzuri Mama Na sura yako mzuri mama, aaaah Mzuri mama [Bridge] Piga dansi kidogo Piga da, piga dansi kidogo Dansi kidogo Piga da piga dansi kidogo Dansi kidogo Piga da piga dansi kidogo Dansi kidogo Sura yako mzuri mama, aaaah Mzuri mama Na tabasamu lako maua, aaaah Mzuri mama Sura yako mzuri mama, aaaah You’re so so beautiful You’re so so yeah [Outro] (Mama, yeah) Piga dansi kidogo (Mizuri mama) Baby dansi kidogo (Mizuri mama) Mama dansi kidogo (Mizuri mama) Nafiga yako kama ya chupa Piga dansi kidogo (Mizuri mama) Baby dansi kidogo (Mizuri mama) Mama dansi kidogo (Mizuri mama) Na tabasamu lako kama maua (Mzuri mama, Mzuri mama) Mama dansi kidogo Niwe, niwe, niwe, niwe
Minimum 10 characters required
Submit Lyric Edit
Return to Lyric Page