🎵
Muziki Asili Yake Wapi by Remmy Ongala album cover

Muziki Asili Yake Wapi

by Remmy Ongala

Lyrics
Mziki asiliyake wapieee mziki niwanani mziki hakuna mwenyewe mziki ni wito.usinione nikiimba ukadhani ninayo furaha...

Kukiwa nasherehe utaimba nyimbo za furaha Ukiwa na shida utaimba nyimbo za masikitiko...
Kama mziki ni uhuni kwanini una sikiliza top 10 shows

Mziki asiliyake wapieeee mziki niwanani mziki hakuna mwenyewe mziki ni wito ...usinione nikiimba ukadhani ninayo furaha ...