Home / Kusah / I Don't Care
I Don't Care by Kusah
Afro-Pop

I Don't Care

by Kusah

Release Date: 2022-01-04

Lyrics

The first thing Nataka tununue Dunia
Niishi Mimi na we Dear
Wengine Twawafungia
Vingine Malizia
Nikupe Mapenzi Mpaka Wewe uogope
Jiachie nataka nikupe vyote
Kwenye Dunia ivi vingine si lolote
Mama mama mama
Basi Me unielewe
Hakuna mimi bila wewe
Ukinizingua wewe
Nitakua chizi unielewe
Chorus
I don’t care (Wakisema ni malaya)
I don’t care (wakikusema vibaya)
I don’t care (baby mimi iiih)
I don’t care
I put a ring on your finger
Kama unaringa ringa
Hakuna wakukupinga
We kiboko yaoo
Vyenye uko cool
Vyenye uko humble
Na mapenzi yako juu
Mie roho juu mmh
What’s kind of love
Asa kiuno unakipinda pinda
Vile Unanitreat Kama kinda kinda
Me nimekubali nimeshindwa shindwa
Mahaba yamwagika nayakinga yooh
Basi Me unielewe
Hakuna mimi bila wewe
Ukinizingua wewe
Nitakua chizi unielewe
I don’t care (Wakisema ni malaya)
I don’t care (wakikusema vibaya)
I don’t care (baby mimi iiih)
I don don’t care