Sipendi Kugombana

Sipendi kugombana

Nilikuwa sina haja lakini mmeleta ukuda

Hizo zenu jitihada kwangu zimegonga ukutaa

Mijineno kawaida lakini mwezenu nakubalika

Mtazameni mbele lakini msisahau mlipotokaa

Ijineno kawaida lakini mwezenu nakubalika

Mtazameni mbele lakini msisahau mlipotokaa
Msaada kwenu sijaomba naridhika na nachopata

Mkiniona mnakonda na sura zina wapaukaaaa

Poleeeni sanaaa

Ahaaa

Dar tmk habari ya mjinii

Mnayonifanyia sijali najua mitihanii

Mengi na stahamili siweki kinyongo rohooni iii

Mnayonifanyia sijaaali najua mitihanii

Mengi na stahamili siweki kinyongo rohooni iii

Usafi wangu wa moyo mungu kanijaalia

Uzuri sifa yangu ndio maana mwanichukiaa aaaah

Usafi wangu wa moyoo mungu kanijaaliaa

Uzuri sifa yangu ndio maana mwanichukiaa aaaah

Ukisema potelea mbali nawaambia wa kazi ganii

Namjali anae nijaliii namthamini anaenithamini

Oooohh

Ukisema potelea mbali nawaambia wa kazi ganii

Namjali anae nijaliii namthamini anaenithaminiAaaaaaahhhh ooohhhhhhhh

Huwa sipendi kugombana yamenishinda

Sio kama nguvu sina nawachakachuaaaaa

Huwa sipendi kugombana yamenishinda

Sio kama nguvu sina nawachakachuaaaaa

Kuongea mmejaaliwa niachieni vuvuzelaa

Mnavyonifuatilia mnachelewa hadi kulalaaa

Kuongea mmejaaliwa niachieni vuvuzelaa

Mnavyonifuatilia mnachelewa hadi kulalaaaMaisha sasa mapambano sio kucheza makidaa

Mie sipendi malumbano kwangu hayana faidaaaaah

Maisha sasa mapambano sio kucheza makidaa

Mie sipendi malumbano kwangu hayana faidaaaaah

We father maujii Sukari yaoo a a a aaaa

Mkali wa viatuuAsante sana mfalme wao wanaoijita wafalme

Huyu ndio kiboko yao Omary TeggoAsante mipango one touch hiiiiMnashindwa kunikabili mtaishia kulalamaa

Mimi sina habari nafanya yangu ya maaana

Mnashindwa kunikabili mtaishia kulalamaa

Mimi sina habari nafanya yangu ya maaana

Kinanisumbua pesa si matumizi ya pesaaa

Hamto nikondesha wala kunitia preshaaaa

Mnashindwa kunikabili mtaishia kulalamaa

Mimi sina habari nafanya yangu ya maaana

Nina sifa jogoo kuwika bila kutagaa

Hamnisumbui nyoyo levo zenu nimeshapitaa

Mnashindwa kunikabili mtaishia kulalamaa

Mimi sina habari nafanya yangu ya maaana

Mnashindwa kunikabili mtaishia kulalamaa

Mimi sina khabari nafanya yangu ya maaana aahWee chidi boyiii fundi wa ma fundiii chiii

Wapelekeeee

Cheza rumba na watot wa uswahiili vuvuzelaaNalia mimi vuvu nalia vuvuzelaa nalia mimi

Wema wangu hauna faida sababu masikinii

Ahhh

Nalia mwezenu nalia mimi nalia mama nalia mimi

Wema wangu hauna faida sababu masikinii

Japo masikini oohh sikuomba mimiiii

Ila naamini yaa mungu mitihanii

Japo masikini oohh sikuomba mimiiii

Ila naamini yaa mungu mitihaniiWasitutushe

Watapata tabu sana

Mashairi/ kwa maneno/ by Baraka Mkande

Sipendi kugombana taarabAISHA VUVUZELA SIPENDI KUGOMBANA .LYRICS/MASHAIRI/KWA MANENO